Alhamisi ya 11 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Kor 11:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 111: 1-4, 7-8Matendo yako Bwana ni kweli na hukumu
Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote,
Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano.
Matendo ya Bwana ni makuu,
Yafikiriwa sana na wapendezwao nayo.
K. Matendo yako Bwana ni kweli na hukumu
Kazi yake ni heshima na adhama,
Na haki yake yakaa milele.
Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu;
Bwana ni mwenye fadhili na rehema.
K. Matendo yako Bwana ni kweli na hukumu
Matendo ya mikono yake ni kweli na hukumu,
Maagizo yake yote ni amini,
Yamethibitika milele na milele,
Yamefanywa katika kweli na adili.
K. Matendo yako Bwana ni kweli na hukumu
Injili
Mt 6:7-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni