Dominika ya 31 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kumb. 6:2-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 18:1-3,46,50Wewe, Bwana, nguvu zangu, nakupenda sana.
Wewe, Bwana, nguvu zangu, nakupenda sana;
Bwana ni jabali langu,
Na boma langu na mwokozi wangu,
Mungu wangu, mwamba wangu ninayekukimbilia.
Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu,
Na ngome yangu.
Nitamwita Bwana anayestahili kusifiwa,
Hivyo nitaokoka na adui zangu.
K. Wewe, Bwana, nguvu zangu, nakupenda sana.
Bwana ndiye aliye hai,
Na atukuzwe Mungu wa wokovu wangu
Ampa mfalme wake wokovu mkuu,
Amfanyia fadhili masihi wake.
K. Wewe, Bwana, nguvu zangu, nakupenda sana.
Somo la Pili
Ebr. 7:23-28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn. 15:28-34Ninyi nimewaita rafiki, kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa baba yangu nimewaarifu.
Aleluya.
Injili
Mk. 12:28-34Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni