Jumapili. 05 Mei. 2024

Sala

Sala ya Mtakatifu Inyasi

Roho ya Kristu, nitakase

Mwili wa Kristu, niokoe

Damu ya Kristu, nifurahishe

Maji ya ubavu wake Kristu, nioshe

Mateso ya Kristu, nguvu nizidishie

Ee Yesu mwema unisikilize

Katika madonda yako unifiche

Usikubali nitengwe nawe

Na adui mwovu, unikinge

Saa ya kufa kwangu, unite

Uniamuru nikusogelee

Sifa zako niimbe

Na watakatifu wako, 

milele, milele

Amina.

Maoni

LENG'IDA LEYAN ALBALUSY

tumsifuni yesu kristo,tunashukuru sana watumishi wetu kwa kuzidi kutufundisha mitandaoni,mbarikiwe sana.tunajifunia ukatoliki wetu.

Daud Petro

Taifa la Mungu tumsifu yesu kristu. Mm nachukua nafac hii kushukuru sana kupata mafundisho mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii hakika nafurah sana na najifunza mengi Mungu awabariki sana.

Ingia utoe maoni