Sala ya Mapendo
Mungu wangu, nakupenda zaidi ya chochote. Kwani ndiwe mwema, ndiwe mwenye kupendeza. Nampenda na jirani yangu, kama nafsi yangu, kwa ajili yako.
Maoni (3)
Andrew Timotheo · 3 Aprili 2023
Amina
Joseph Marekani · 15 Machi 2024
Tumshukulu mungu kwa yote anayo tutendea
PETERKENNEDY OPIYO · 17 Machi 2024
Amina