Baba Yetu
Maoni (12)
JOSHUA MUCHIRI · 5 Agosti 2020
imenifunza
Donata Musa · 8 Julai 2026
Ww imekufunza kafanyaje mpendwa
Lucas Malley · 1 Oktoba 2021
Utaratibu wa kusali rozari
DAVID ELIA · 21 Novemba 2024
Inapenda tutie kwa kicha
Jumanne Kasonso · 15 Oktoba 2025
Mungu awa bariki watu wa mungu
Sylivanus Nyitwe · 15 Novemba 2025
Nimebarikiwa
Imanuel Byamungu · 4 Machi 2026
Tuendelee kuhimiza vijana wawe wanaenda kanisani
Ibrahim Kilamlya · 14 Juni 2026
Tuishi katika misingi ya IMANI.
Michael Lashau · 21 Juni 2026
Amina
Donata Musa · 8 Julai 2026
Sala ya baba yetu imenifuza mengi utakalo lifanyike duniani
Edward Kilya · 1 Septemba 2026
Imani yetu ndo itakayotuponya..
Kamgisha Elipidius · 5 Septemba 2026
Mungu kupitia sala hii naomba uniondolee mabaya yote kweye familia yangu muokoe na mateso mke wangu mjalie kumpatia furaha na majibu ya maswali yake anayojiuliza kisha vunja maagano yote aliyonenewa.bwana sikia maombi yangu
Moses Liaram · 13 Oktoba 2026
Mnifuse sala ya mtakatifu mikael