Dominika ya 27 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa. 2:18:24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 128Bwana atubariki siku zote za maisha yetu.
Heri kila mtu amchaye Bwana,
Aendaye katika njia yake.
Taabu ya mikono yako hakika utaila,
Utakuwa mwenye heri na baraka tele.
K. Bwana atubariki siku zote za maisha yetu.
Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao,
Vyumbani mwa nyumba yako.
Wanao kama miche ya mizeituni,
Wakizunguka meza yako.
K. Bwana atubariki siku zote za maisha yetu.
Hakika, atabarikiwa hivyo,
Yule amchaye Bwana.
Bwana akubariki toka Sayuni,
Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;
Naam, ukawaone wana wa wanao.
Amani ikae na Israeli.
K. Bwana atubariki siku zote za maisha yetu.
Somo la Pili
Ebr. 2:9-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn. 14:23Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake.
Aleluya.
Injili
Mk. 10:2-16Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni