Mt. Yosefu Mfanyakazi
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 1:26-2:3Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 90:2-4, 12-14, 16Kazi ya mikono yetu uthibitishe, Ee Bwana.
Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia,
Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
Wamrudisha mtu mavumbini, usemapo,
Rudini, enyi wanadamu.
K. Kazi ya mikono yetu uthibitishe, Ee Bwana.
Maana miaka elfu machoni pako Ni kama siku ya jana ikiisha kupita,
Na kama kesha la usiku.
Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu,
Tujipatie moyo wa hekima.
K. Kazi ya mikono yetu uthibitishe, Ee Bwana.
Ee Bwana urudi, hata lini? Uwahurumie watumishi wako.
Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako,
Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote.
Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako,
Na adhama yako kwa watoto wao.
K. Kazi ya mikono yetu uthibitishe, Ee Bwana.
Injili
Mt 13:54-58Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni