Kupashwa Habari ya Kuzaliwa Bwana
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa. 7:10-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 40:6-10Tazama, nimekuja, Ee Bwana, kuyafanya mapenzi yako.
Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo,
Masikio yangu umeyazibua,
Kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka.
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja.
K. Tazama, nimekuja, Ee Bwana, kuyafanya mapenzi yako.
Katika gongo la chuo nimeandikiwa,
Kuyafanya mapenzi yako,
Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu;
Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
K. Tazama, nimekuja, Ee Bwana, kuyafanya mapenzi yako.
Nimehubiri habari za haki katika kusanyiko kubwa,
Sikuizuia midomo yangu; Ee Bwana, unajua.
K. Tazama, nimekuja, Ee Bwana, kuyafanya mapenzi yako.
Sikusitiri haki yako moyoni mwangu;
Nimetangaza uaminifu wako na wokovu wako.
Sikuficha fadhili zako wala kweli yako
Katika kusanyiko kubwa.
K. Tazama, nimekuja, Ee Bwana, kuyafanya mapenzi yako.
Somo la Pili
Ebr. 10:4-10Hapo juu asemapo, Dhabihu na matoleo na sadaka za kuteketezwa na hizo za dhambi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo (zitolewazo kama ilivyoamuru torati), ndipo aliposema, Tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako. Aondoa la kwanza, ili kusudi alisimaishe la pili. Katika mapenzi hayo tumepata utakaso, kwa kutolewa mwili wa Yesu Kristo mara moja tu.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn. 1:14Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu, nasi tukauona utukufu wake.
Aleluya.
Injili
Lk. 1:26-38Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni