Kumbukumbu ya Mt. Elizabeth wa Hungaria, Mtawa
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hek. 13:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 19:1-4Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu.
Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu,
Na anga laitangaza kazi ya mikono yake.
Mchana husemezana na mchana,
Usiku hutolea usiku maaarifa.
K. Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu.
Hakuna lugha wala maneno,
Sauti yao haisikilikani.
Sauti yao imeenea duniani mwote,
Na maneno yao hata miisho ya ulimwengu.
K. Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu.
Shangilio la Injili
Zab. 111:7,8Injili
Lk. 17:26-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni