Ijumaa ya 5 ya Kwaresima
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Yer 20:10-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 18:1-6Wewe, Bwana, nguvu zangu, nakupenda sana;
Bwana ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu
(K)Katika shida yangu nalimwita Bwana, Akasikia sauti yangu.
Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia, Ngao yangu,
na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.
Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa, Hivyo nitaokoka na adui zangu.
(K)Katika shida yangu nalimwita Bwana, Akasikia sauti yangu.
Kamba za mauti zilinizunguka, Mafuriko ya uovu yakanitia hofu.
Kamba za kuzimu zilinizunguka, Mitego ya mauti ikanikabili.
(K)Katika shida yangu nalimwita Bwana, Akasikia sauti yangu.
Katika shida yangu nalimwita Bwana, Na kumlalamikia Mungu wangu.
Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake.
(K)Katika shida yangu nalimwita Bwana, Akasikia sauti yangu.
Injili
Yn 10:31-42Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni