Jumamosi ya 22 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Kor 4:6-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:17-21Bwana yu karibu na wote wamwitao.
Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote,
Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Bwana yu karibu na wote wamwitao,
Wote wamwitao kwa uaminifu.
K. Bwana yu karibu na wote wamwitao.
Atawafanyia wamchao matakwa yao,
Naye atakisikia kilio chao na kuwaokoa.
Bwana huwahifadhi wote wampendao,
Na wote wasio haki atawaangamiza.
K. Bwana yu karibu na wote wamwitao.
Kinywa changu kitazinena sifa za Bwana;
Wote wenye mwili na walihimidi jina lake takatifu milele na milele.
K. Bwana yu karibu na wote wamwitao.
Shangilio la Injili
Zab 119:18Unifumbue macho yangu niyatazame maajabu yatokayo katika sheria yako.
Aleluya
Injili
Lk 6:1-5Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Edward Kilya · 5 Septemba 2026
Kwani hattakiwi kula siku sabato hata kama tnanjaa?Na sabato ni nin?
EZEKIEL MANGENI · 6 Septemba 2026
Kwako Edward Kilya kwa uelewa wangu sabati ni siku ya mwisho ya juma ambayo mungu alipumzika baada ya kazi yake ya uumbaji ambayo kwa sasa ni jumapili ambayo tunashauriwa kupumzika huku tukiwa tunafanya kazi ya mungu pamoja na kumshukuru lakin ikitokea kaz ya dharura inaweza kufanywa