Kumbukumbu ya Mt. Monika
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Kor 1:1–9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:2–7Ee Bwana, nitalihimidi jina lako milele na milele.
Kila siku nitakuhimidi,
Nitalisifu jina lako milele na milele.
Bwana ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana,
Wala ukuu wake hautambulikani.
K. Ee Bwana, nitalihimidi jina lako milele na milele.
Kizazi kwa kizazi kitayasifu matendo yako,
Kitayatangaza matendo yako makuu.
Nitakufikiri fahari ya utukufu wa adhama yako,
Na matendo yako yote ajabu
K. Ee Bwana, nitalihimidi jina lako milele na milele.
Watu watayajua matendo yako ya kutisha,
Nami nitausimulia ukuu wako.
Watalihubiri kumbukumbu la wema wako mkuu.
Wataiimba haki yako.
K. Ee Bwana, nitalihimidi jina lako milele na milele.
Shangilio la Injili
Yn 14:23Mtu akinipenda, atalishika neno langu, na Baba yangu atampenda, na sisi tutakuja kwake.
Aleluya.
Injili
Mt 24:42–51Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Edward Kilya · 27 Agosti 2026
Mungu anatupenda san.nasi tumupende kama anavyo tupenda wapendwa... wakristo wenzang mim maoni yangu ni kwambanashukur kwa huduma ya shajala khnganjani natafakali bila wasisi kwa sababu ninayo kiganjan nashukuru sana kwa huduma hiyo Asante san MUNGU awabariki