Jumatano ya 21 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
2The 3:6-10, 16-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 128:1-2, 4-5Heri kila mtu amchaye Bwana
Heri kila mtu amchaye Bwana,
Aendaye katika njia yake.
Taabu ya mikono yako hakika utaila;
Utakuwa heri, na kwako kwema.
K. Heri kila mtu amchaye Bwana
Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana.
Bwana akubariki toka Sayuni;
Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;
K. Heri kila mtu amchaye Bwana
Shangilio la Injili
Yn 10:27Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua nao wanfuata.
Aleluya
Injili
Mt 23:27-32Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Kamgisha Elipidius · 26 Agosti 2026
Mungu ni upendo katika maisha yangu naamini kili kitu nitashinda