Ijumaa ya 14 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hos 14:2–9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 51:1–2,6–7,10–11,15Ulimi wangu utaiimba haki yako.
Ee Mungu, unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase dhambi zangu.
K. Ulimi wangu utaiimba haki yako.
Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni,
Nawe utanijulisha hekima kwa siri,
Unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi,
Unioshe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji.
K. Ulimi wangu utaiimba haki yako.
Ee Mungu, uniumbie moyo safi,
Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu.
Usinitenge na uso wako,
Wala roho yako mtakatifu usiniondolee.
K. Ulimi wangu utaiimba haki yako.
Ee Bwana, uifumbue midomo yangu,
Na kinywa change kitazinena sifa zako.
K. Ulimi wangu utaiimba haki yako.
Shangilio la Injili
1Pet 1:25Neno la Bwana hudumu hata milele, na neno hilo ni neno jema lililohubiriwa kwenu.
Aleluya.
Injili
Mt 10:16–23Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (2)
JILALA MABULA · 10 Julai 2026
MUNGU turinde daima milele
Paul Ngilangwa · 11 Julai 2026
Amina
Donata Musa · 11 Julai 2026
Wapenz wamungu katika som hili mungu ametufundisha nn