Jumatano ya 14 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hos 10:1–3, 7–8, 12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 105:2–7Siku zote mtafuteni uso wake Bwana.
Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi,
Zitafakarini ajabu zake zote.
Jisifuni kwa jina lake takatifu,
Na ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana.
K. Siku zote mtafuteni uso wake Bwana.
Mtakeni Bwana na nguvu zake,
Utafuteni uso wake sikuzote.
Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya.
Miujiza yake na hukumu za kinywa chake.
K. Siku zote mtafuteni uso wake Bwana.
Enyi wazao wa Ibrahimu, mtumishi wake;
Enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Yeye, Bwana, ndiye Mungu wetu;
Duniani mwote mna hukumu zake.
K. Siku zote mtafuteni uso wake Bwana.
Shangilio la Injili
2Tim 1:10Mwokozi wetu Yesu Kristo alibatili mauti, na kuufunua uzima na kutokuharibika kwa Injili.
Aleluya.
Injili
Mt 10:1–7Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Pius Kerio · 9 Julai 2026
Antonio ya leo