Dominika ya 13 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
2 Fal 4:8-11,14-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 89 : 1-2, 15-18Fadhili za Bwana nitaziimba milele.
Fadhili za Bwana nitaziimba milele;
Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Maana nimesema, Fadhili zitajengwa milele;
Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.
K. Fadhili za Bwana nitaziimba milele.
Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe,
Ee Bwana, kuenenda katika nuru ya uso wako.
Kwa jina lako hufurahi mchana kutwa,
Na kwa haki yako hutukuzwa.
K. Fadhili za Bwana nitaziimba milele.
Maana fahari ya nguvu zao ni Wewe,
Na kwa radhi yako pern be yetu itatukuka.
Maana ngao yetu ina Bwana,
Na mfalme wetu ni wake Mtakatifu wa Israeli.
K. Fadhili za Bwana nitaziimba milele.
Somo la Pili
Rum 6:3-4,8-11wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima. Lakini tukiwa tulikufa pamoja na Kristo, twaamini ya kuwa tutaishi pamoja naye; tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka katika wafu hafi tena, wala mauti haimtawali tena. Maana kwa kule kufa kwake, aliifia dhambi mara moja tu; lakini kwa kule kuishi kwake, amwishia Mungu. Vivyo hivyo ninyi nanyi jihesabuni kuwa wafu kwa dhambi, na walio hai kwa Mungu katika Kristo Yesu.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 11:25Nakushukuru, Baba, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya.
Injili
Mt 10:37-42Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (3)
Elisha Mndeba · 28 Juni 2026
Tafakari
Elisha Mndeba · 28 Juni 2026
Maneno ya kiswahili yaandikwe vizuri
Elisha Mndeba · 28 Juni 2026
Tafakari
Egrasius Salvatory · 28 Juni 2026
Tafakari
Egrasius Salvatory · 28 Juni 2026
Tupewe tafakari ya kila neno