Alhamisi ya 11 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
YbS 48:1–14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 97:1–7Enyi wenye haki, mfurahieni Bwana.
Bwana ametamalaki, nchi na ishangilie,
Visiwa vingi na vifurahi.
Mawingu na giza vyamzunguka,
Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake.
K. Enyi wenye haki, mfurahieni Bwana.
Moto hutangulia mbele zake,
Nao huwateketeza watesi wake pande zote.
Umeme wake uliangaza ulimwengu,
Nchi ikaona ikatetemeka.
K. Enyi wenye haki, mfurahieni Bwana.
Milima iliyeyuka kama nta mbele za Bwana,
Mbele za Bwana wa dunia yote.
Mbingu zimetangaza haki yake,
Na watu wote wameuona utukufu wake.
K. Enyi wenye haki, mfurahieni Bwana.
Na waaibishwe wote waabuduo sanamu,
Wajivunao kwa vitu visivyofaa;
Enyi miungu yote, msujuduni Yeye.
K. Enyi wenye haki, mfurahieni Bwana.
Shangilio la Injili
1Sam 3:9, Yn 6:68Nena Bwana, kwa kuwa mtumishi wako anasikia, Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya.
Injili
Mt 6:7-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni