Kupaa kwa Bwana Mbinguni
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Mdo 1:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 47: 1-2, 5-6, 7-8Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu.
Enyi watu wote, pigeni makofi,
Mpigieni Mungu kelele kwa Sauti ya shangwe.
Kwa kuwa Bwana Aliye juu, mwenye kuogofya,
Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.
K. Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu.
Mungu amepaa kwa kelele za shangwe,
Bwana kwa sauti ya baragumu.
Mwimbieni Mungu, naam, imbeni;
Mwimbieni mfalme wetu, naam, imbeni.
K. Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu.
Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote,
Imbeni kwa akili.
Mungu awamiliki mataifa,
Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu.
K. Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu.
Somo la Pili
Efe 1:17-23Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 28:19-20Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote
Aleluya
Injili
Lk 24:46-53Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (3)
BUBERWA KIIZA · 17 Mei 2026
Tumsifu yesu kristu
BUBERWA KIIZA · 17 Mei 2026
Napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kunifikisha jumapili ya leo nakuomba mwenyezi mungu uweze kushusha mibaraka kwa kila ambaye ameweza kuvuta pumzi ya hii leo ili iwe kumbukumbu kwetu tukutegemeao na kukucha ewe mwenyezi mungu
Lewis Sylivanus · 17 Mei 2026
Hakika mungu nimwema
Kamgisha Elipidius · 17 Mei 2026
Ndugu yangu tunatakiwa kupaa na bwana kule mbinguni jimbo katoliki la bukoba
BUBERWA KIIZA · 17 Mei 2026
Hata jimbo la rulenge ngara hatuna budi kupaa naye mbinguni kwenye makazi ya milele