Jumanne ya 4 ya Pasaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 11:19-26Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 87:1-7Enyi mataifa yote msifuni Bwana.
Msingi wake upo Juu ya milima mitakatifu.
Bwana ayapenda malango ya Sayuni Kuliko maskani zote za Yakobo.
Umetajwa kwa mambo matukufu, Ee Mji wa Mungu.
K. Enyi mataifa yote msifuni Bwana.
Nitataja Rahabu na Babeli Miongoni mwao wanaonijua.
Tazama Filisti, na Tiro, na Kushi; Huyu alizaliwa humo.
Naam, mintarafu Sayuni itasemwa,
Huyu na huyu alizaliwa humo.
Na Yeye Aliye juu Ataufanya imara.
K. Enyi mataifa yote msifuni Bwana.
Bwana atahesabu, awaandikapo mataifa,
Huyu alizaliwa humo.
Waimbao na wachezao na waseme,
Visima vyangu vyote vimo mwako.
K. Enyi mataifa yote msifuni Bwana.
Shangilio la Injili
Lk 24:25-26Ilimpasa Kristo kupata mateso haya na kuingia katika utukufu wake.
Aleluya.
Injili
Yn 10:22-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
CHRISTOPHER NDOSA · 29 Aprili 2026
Najivunia kua mkatoli viwawa na vyama vyote vya kitume ndugu mapadre na watawa wote mungu awalinde naku watunza impende avyo