Ijumaa ya 3 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Sam 11:1-10, 13-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 51:1-5, 8-9Uturehemu, Ee Mungu kwani tumekosa
Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.
K. Uturehemu, Ee Mungu kwani tumekosa
Maana nimejua mimi makosa yangu
Na dhambi yangu i mbele yangu daima.
Nimekutenda dhambi Wewe peke yako,
Na kufanya maovu mbele za macho yako.
K. Uturehemu, Ee Mungu kwani tumekosa
Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo,
Na kuwa safi utoapo hukumu.
Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu;
Mama yangu alinichukua mimba hatiani.
K. Uturehemu, Ee Mungu kwani tumekosa
Unifanye kusikia furaha na shangwe,
Mifupa uliyoiponda ifurahi.
Usitiri uso wako usitazame dhambi zangu;
Uzifute hatia zangu zote.
K. Uturehemu, Ee Mungu kwani tumekosa
Shangilio la Injili
Mt 11:25Utukuzwe Baba, Bwana wa Mbingu na nchi, kwa kuwa umewafunulia watoto wachanga mafumbo ya ufalme wa mbingu
Aleluya
Injili
Mt 4:26-34Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni