Alhamisi ya 1 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1 Sam 4:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 44:9-10, 13-14, 23-24Utukomboe kwa ajili ya fadhili zako, Ee Bwana.
Lakini umetutupa, umetufedhehesha,
Wala hutoki na majeshi yetu.
Waturudisha nyuma tukampa mtesi kisogo,
Na watuchukiao wanajipatia mateka.
K. Utukomboe kwa ajili ya fadhili zako, Ee Bwana.
Umetufanya kuwa lawama kwa jirani zetu,
Mzaha na dhihaka kwao wanaotuzunguka.
Umetufanya kuwa mithali kwa mataifa,
Sababu ya kutikisa kichwa kwa watu wa nchi.
K. Utukomboe kwa ajili ya fadhili zako, Ee Bwana.
Amka, Bwana, mbona umelala?
Ondoka, usitutupe kabisa.
Mbona unatuficha uso wako,
Na kusahau kuonewa na kudhulumiwa kwetu?
K. Utukomboe kwa ajili ya fadhili zako, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
Mt 4:23Yesu aliihubiri Habari njema ya ufalme, na kuponya udhaifu wa kila namna katika watu.
Aleluya.
Injili
Mk 1:40-45Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni