Sherehe ya Maria Mtakatifu Mama wa Mungu
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Hes 6:22-27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 67:1-2, 4, 6-7Mungu na atufadhili na kutubariki.
Mungu na atufadhili na kutubariki,
Na kutuangazia uso wake.
Njia yake ijulikane duniani,
Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
K. Mungu na atufadhili na kutubariki.
Mataifa na washangilie,
Naam, waimbe kwa furaha,
Maana kwa haki utawahukumu watu,
Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
K. Mungu na atufadhili na kutubariki.
Nchi imetoa mazao yake;
Mungu, Mungu wetu, ametubariki.
Mungu atatubariki sisi;
Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
K. Mungu na atufadhili na kutubariki.
Somo la Pili
Gal 4:4-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Ebr 1:1-2Mungu,ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi, mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.
Aleluya
Injili
Lk 2:16-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Elias Paschal Elias · 1 Januari 2026
AMINA UBARARIKIWE MWANA WA MUNGU