Alhamisi ya 33 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Mak 2:15-29Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 50:1-2,5-6,14-15Nitawaonyesha wokovu wa Mungu.
Mungu, Mungu Bwana, amenena, ameiita nchi,
Toka maawio ya jua hata machweo yake.
Tokea Sayuni, ukamilifu wa uzuri,
Mungu amemulika.
K. Nitawaonyesha wokovu wa Mungu.
Nikusanyieni wacha Mungu wangu,
Waliofanya agano nami kwwa dhabihu.
Na mbingu zitatangaza haki yake,
Kwa maana Mungu ndiye aliye hakimu
K. Nitawaonyesha wokovu wa Mungu.
Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru,
Mtimizie Aliye juu nadhiri zako.
Ukaniite siku ya mateso;
Nitakuokoa, na wewe utanitukuza.
K. Nitawaonyesha wokovu wa Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 14:5Bwana anasema: Mimi ndimi njia, na ukweli, na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Aleluya.
Injili
Lk 19:41-44Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni