Jumanne ya 33 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo 28:11-16, 30-31Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1-6Bwana ameidhihirisha haki yake machoni pa mataifa.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe, Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
K. Bwana ameidhihirisha haki yake machoni pa mataifa.
Amezikumbuka rehema zake, Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
Miisho yote ya dunia imeuona Wokovu wa Mungu wetu.
Mshangilieni Bwana, nchi yote, Inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni zaburi.
K. Bwana ameidhihirisha haki yake machoni pa mataifa.
Mwimbieni Bwana zaburi kwa kinubi,
Kwa kinubi na sauti ya zaburi.
Kwa panda na sauti ya baragumu.
Shangilieni mbele za Mfalme, Bwana.
K. Bwana ameidhihirisha haki yake machoni pa mataifa.
Shangilio la Injili
2Kor. 5:19Mungu alikuwa ndani ya Kristu, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, ametia ndani yetu neno la upatanisho.
Aleluya.
Injili
Mt 14:22-33Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni