Ijumaa ya 32 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hek 13:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 19:1-4Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu.
Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu,
Na anga laitangaza kazi ya mikono yake.
Mchana husemezana na mchana,
Usiku hutolea usiku maarifa.
K. Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu.
Hakuna lugha wala maneno,
Sauti yao haisikilikani.
Sauti yao imeenea duniani mwote,
Na maneno yao hata miisho ya ulimwengu.
K. Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu.
Shangilio la Injili
Zab 111:7,8Maagizo yako yote, Ee Bwana, ni amini, yamethibitika milele na milele.
Aleluya.
Injili
Lk 17:26-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni