Jumanne ya 32 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hek 2:23-3:9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 34:1-2, 15-18Nitamhimidi Bwana kila wakati.
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
Sifa zake zi kinywani mwangu daima.
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
Wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
K. Nitamhimidi Bwana kila wakati.
Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki,
Na masikio yake hukielekea kilio chao,
Uso wa Bwana ni juu ya watenda mambaya,
Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
K. Nitamhimidi Bwana kila wakati.
Walilia, naye Bwana akasikia,
Akawaponya na taabu zao zote.
Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo,
Na waliopondeka roho huwaokoa.
K. Nitamhimidi Bwana kila wakati.
Shangilio la Injili
Zab. 25:4,5Ee Bwana, unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako
Aleluya.
Injili
Lk. 17: 1-10Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni