SIKUKUU YA MT. LUKA, MWINJILI
· Mwaka C
Somo la Kwanza
2Tim 4:10–17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:10–13, 17–18Wacha wako, Ee Bwana, wajulisha matendo yako makuu na utukufu wa fahari ya ufalme wako.
Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru,
Na wacha Mungu wako watakuhimidi,
Wataunena utukufu wa ufalme wako,
Na kuuhadithia uweza wako.
K. Wacha wako, Ee Bwana, wajulisha matendo yako makuu na utukufu wa fahari ya ufalme wako.
Ili kuwajulisha watu matendo yake makuu,
Na utukufu wa fahari ya ufalme wake.
Ufalme wako ni ufalme wa zamani zote,
Na mamlaka yako ni ya vizazi vyaote.
K. Wacha wako, Ee Bwana, wajulisha matendo yako makuu na utukufu wa fahari ya ufalme wako.
Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote,
Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Bwana yu karibu na wote wamwitao,
Wote wamwitao kwa uaminifu.
K. Wacha wako, Ee Bwana, wajulisha matendo yako makuu na utukufu wa fahari ya ufalme wako.
Shangilio la Injili
Yn 15:1–9Ni mimi niliyewachagua ninyi, nikawaweka mwende mkazae matunda, matunda yenu yapate kukaa.
Aleluya.
Injili
Lk 10:1–9Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Sunday Kayombo · 19 Oktoba 2025
Mabu Iri Yalikuwa mazuri sana tuu