Jumatano ya 25 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ezr 9:5-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Tob 13:2-4, 6Amehimidiwa Mungu aishiye milele.
Kwa maana hurudi, na kurehemu tena;
Hushusha hata kuzimu, na kuinua tena;
Wala hakuna awezaye kujiepusha na mkono wake.
K. Amehimidiwa Mungu aishiye milele.
Enyi bani Israeli, mshukuruni mbele ya mataifa
Yeye ambaye ametutawanya katikati yao.
K. Amehimidiwa Mungu aishiye milele.
Kuko huko utangazeni ukuu wake,
Mwadhimisheni mbele ya wote walio hai;
Kwa kuwa Yeye ndiye Bwana wetu,
Naye Mungu yu Baba wetu,
Naye Mungu yu Baba yetu milele.
K. Amehimidiwa Mungu aishiye milele.
Shangilio la Injili
ShangilioEe Mungu, tunakusifu, tunakukiri kuwa Bwana. Jamii tukufu ya Mitume inakusifu.
Aleluya.
Injili
Lk 9:1-6Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni