Jumanne ya 24 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
1 Tim 3: 1-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 100: 1-3, 5-6Nitakwenda kwa unyofu wa moyo
Rehema na hukumu nitaziimba,
Ee Bwana, nitakuimbia zaburi.
Nitaiangalia njia ya unyofu;
Utakuja kwangu lini?
K. Nitakwenda kwa unyofu wa moyo
Nitakwenda kwa unyofu wa moyo
Ndani ya nyumba yangu.
Sitaweka mbele ya macho yangu
Neno la uovu.
K. Nitakwenda kwa unyofu wa moyo
Amsingiziaye jirani yake kwa siri,
Huyo nitamharibu.
Mwenye macho ya kiburi na moyo wa majivuno,
Huyo sitavumilia naye.
K. Nitakwenda kwa unyofu wa moyo
Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi,
Hao wakae nami.
Yeye aendaye katika njia kamilifu,
Ndiye atakayenitumikia.
K. Nitakwenda kwa unyofu wa moyo
Shangilio la Injili
Lk 7:16Nabii mkuu ametokea kwetu; na Mungu amewaangalia watu wake.
Aleluya.
Injili
Lk 7:11-17Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni