Ijumaa ya 23 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
1 Tim 1:1-2, 12-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 16:1-2, 5, 7-8, 11Bwana ndiye fungu la posho langu.
Mungu, unihifadhi mimi,
Kwa maana nakukimbilia Wewe.
Nimemwambia Bwana, Ndiwe Bwana wangu;
Sina wema ila utokao kwako.
Bwana ndiye fungu la posho langu,
Na la kikombe changu;
Wewe unaishika kura yangu.
K. Bwana ndiye fungu la posho langu.
Nitamhimidi Bwana aliyenipa shauri,
Naam, mtima wangu umenifundisha usiku.
Nimemweka Bwana mbele yangu daima,
Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa.
K. Bwana ndiye fungu la posho langu.
Utanijulisha njia ya uzima;
Mbele za uso wako ziko furaha tele;
Na katika mkono wako wa kuume Mna mema ya milele.
K. Bwana ndiye fungu la posho langu.
Injili
Lk 6:39-42Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni