Dominika ya 23 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hek 9:13-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 90:3-6, 12-14, 17Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu kizazi baada ya kizazi.
Wamrudisha mtu mavumbini,
usemapo, Rudini, enyi wanadamu.
Maana miaka elfu machoni pako
Ni kama siku ya jana ikiisha kupita,
Na kama kesha la usiku.
K. Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu kizazi baada ya kizazi.
Wawagharikisha, huwa kama usingizi,
Asubuhi huwa kama majani yameayo.
Asubuhi yachipuka na kumea,
Jioni yakatika na kukauka.
K. Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu kizazi baada ya kizazi.
Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu,
Tujipatie moyo wa hekima.
Ee Bwana urudi, hata lini?
Uwahurumie watumishi wako.
K. Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu kizazi baada ya kizazi.
Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako,
Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote.
Na uzuri wa Bwana, Mungu wetu, uwe juu yetu,
Na kazi ya mikono yetu uithibitishe.
K. Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu kizazi baada ya kizazi.
Somo la Pili
Flm 1:9c-10, 12-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Efe 1:17, 18Ewe Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Uyatie nuru macho ya mioyo yetu, Ili tujue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo.
Aleluya
Injili
Lk 14:25-33Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni