Jumanne ya 21 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1The 2:1-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 139:1-6Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Ee Bwana, umenichunguza na kunijua.
Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu;
Umelifahamu wazo langu tokea mbali.
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu,
Umeelewa na njia zangu zote.
K. Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Maana hamna neno ulimini mwangu Usilolijua kabisa, Bwana.
Umenizingira nyuma na mbele,
Ukaniwekea mkono wako.
Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi,
Hayadirikiki, siwezi kuyafikia.
K. Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Injili
Mt 23:23-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni