Kumbukumbu ya Watakatifu Yoakim na Anna, Wazazi wa Bikira Maria
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Ybs 44:1, 10–15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 132:11, 13–14, 17–18Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.
Bwana amemwapia Daudi neno la kweli,
Hatarudi nyuma akalihalifu,
Baadhi ya wazao wa mwili wako
Nitawaweka katika kiti chako cha enzi.
K. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.
Kwa kuwa Bwana ameichagua Sayuni,
Ameitamani akae ndani yake.
Hapo ndipo mahali pangu pa raha milele,
Hapo nitakaa kwa maana nimepatamani.
K. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.
Hapo nitamchipushia Daudi pembe,
Na taa nimemtengenezea masihi wangu.
Adui zake nitawavika aibu,
Bali juu yake taji yake itasitawi.
K. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.
Shangilio la Injili
Lk 2:15Waliitarajia faraja ya Israeli, na Roho Mtakatifu alikuwa juu yao.
Aleluya.
Injili
Mt 13:16–17Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni