Alhamisi ya 12 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 16:1-12, 15-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 106:1-5Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema.
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema,
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Nani awezaye kuyanena matendo makuu ya Bwana,
Kuzihubiri sifa zake zote?
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema.
Heri washikao hukumu,
Na kutenda haki sikuzote.
Ee Bwana, unikumbuke mimi,
Kwa kibali uliyo nayo kwa watu wako.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema.
Unijilie kwa wokovu wako,
Ili niuone wema wa wateule wako.
Nipate kuifurahia furaha ya taifa lako,
Na kujisifu pamoja na watu wako.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema.
Injili
Mt 7:21-29Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni