Jumamosi ya 11 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Kor 12:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 34:7-12Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Malaika wa Bwana hufanya kituo,
Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa.
Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema;
Heri mtu yule anayemtumaini.
K. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Mcheni Bwana, enyi watakatifu wake,
Yaani, wamchao hawahitaji kitu.
Wana-simba hutindikiwa, huona njaa;
Bali wamtafutao Bwana hawatahitaji kitu cho chote kilicho chema.
K. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Njoni, enyi wana, mnisikilize,
Nami nitawafundisha kumcha Bwana.
Ni nani mtu yule apendezwaye na uzima,
Apendaye siku nyingi apate kuona mema?
K. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Injili
Mt 6:24-34Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Frank Magessa · 21 Juni 2025
Yatupasa tumtumikie Bwana na hatupaswi kuwahudumia mabwana wawili