Dominika ya 2 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 5:12-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 118:2-4,13-15 25-27Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Israeli na aseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Mlango wa Haruni na waseme sasa,
Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Wamchao Bwana na waseme sasa,
Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Ulinisukuma sana ili nianguke;
Lakini Bwana akanisaidia.
Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu,
Naye amekuwa wokovu wangu.
Sauti ya furaha na wokovu Imo hemani mwao wenye haki;
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Ee Bwana, utuokoe, twakusihi;
Ee Bwana, utufanikishe, twakusihi.
Na abarikiwe yeye ajaye kwa jina la Bwana;
Tumewabarikia toka nyumbani mwa Bwana.
Bwana ndiye aliye Mungu,
Naye ndiye aliyetupa nuru.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Somo la Pili
Ufu 1:9-11a, 12-13, 17-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 20:29Yesu akamwambia, Wewe kwa kuwa umeniona, umesadiki; Wa heri wale wasioniona, wakasadiki.
Aleluya
Injili
Yn 20:19-31Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni