Dominika ya 3 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Neh 8:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 19:7-9, 14Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyowaambia ni roho, tena ni uzima.
Sheria ya Bwana ni kamilifu,
Huiburudisha nafsi.
Ushuhuda wa Bwana ni amini,
Humtia mjinga hekima.
K. Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyowaambia ni roho, tena ni uzima.
Maagizo ya Bwana ni ya adili,
Huufurahisha moyo.
Amri ya Bwana ni safi,
Huyatia macho nuru.
K. Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyowaambia ni roho, tena ni uzima.
Kicho cha Bwana ni kitakatifu,
Kinadumu milele.
Hukumu za Bwana ni kweli,
Zina haki kabisa.
K. Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyowaambia ni roho, tena ni uzima.
Maneno ya kinywa changu,
Na mawazo ya moyo wangu,
Yapate kibali mbele zako, Ee Bwana,
Mwamba wangu, na mwokozi wangu.
K. Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyowaambia ni roho, tena ni uzima.
Somo la Pili
1 Kor 12:12-30Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk 4:18-19Bwana amenituma, kuwahubiri maskini habari njema, kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao,
Aleluya.
Injili
Lk 1:1-4, 4:14-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
TGNED DELIA · 27 Januari 2025
Amen