Jumamosi ya Kipindi cha Noeli
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Yoh 3:7-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1, 7-9Miisho yote ya dunia, imeuona Wokovu wa Mungu wetu.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Miisho yote ya dunia, imeuona Wokovu wa Mungu wetu.
Bahari na ivume na vyote viijazavyo,
Ulimwengu nao wanaokaa ndani yake.
Mito na ipige makofi,
Milima na iimbe pamoja kwa furaha,
Mbele za Bwana,
Kwa maana anakuja aihukumu nchi.
K. Miisho yote ya dunia, imeuona Wokovu wa Mungu wetu.
Atauhukumu ulimwengu kwa haki,
Na mataifa kwa adili.
K. Miisho yote ya dunia, imeuona Wokovu wa Mungu wetu.
Shangilio la Injili
Ebr 1:1-2Baada ya Mungu kusema zamani mara nyingi, na kwa namna nyingi na baba zetu kwa kinywa cha manabii, Siku hizi zilizo za mwisho amesema nasi kwa kinywa cha Mwana.
Aleluya.
Injili
Yn 1:35-42Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni