Sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Hes 6:22-27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 67:1-2,4,6-7Mungu na atufadhili na kutubariki.
Mungu na atufadhili na kutubariki,
Na kutuangazia uso wake.
Njia yake ijulikane duniani,
Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
K. Mungu na atufadhili na kutubariki.
Mataifa na washangilie,
Naam, waimbe kwa furaha,
Maana kwa haki utawahukumu watu,
Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
K. Mungu na atufadhili na kutubariki.
Nchi imetoa mazao yake;
Mungu, Mungu wetu, ametubariki.
Mungu atatubariki sisi;
Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
K. Mungu na atufadhili na kutubariki.
Somo la Pili
Gal 4:4-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Ebr 1:1-2Hapo zamani Mungu aliongea na Baba zetu kupitia manabii,
mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana
Aleluya
Injili
Lk 2:16-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Sabas Salvatory Kazule · 1 Januari 2025
Ee Yesu wangu, zaliwa katika maisha yangu, nianze mwaka nawe,. Amina!