Dominika ya 4 ya Majilio
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mik. 5:2-4Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 80:1-2, 14-15, 17-18Ee Mungu, uturudishe, uangazishe uso wako nasi tutaokoka.
Wewe uchungaye Israeli usikie,
Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru.
Uziamshe nguvu zako.
Uje, utuokoe.
K. Ee Mungu, uturudishe, uangazishe uso wako nasi tutaokoka.
Ee Mungu wa majeshi, tunakusihi, urudi,
Utazame toka juu uone, uujilie mzabibu huu.
Na mche ule ulioupanda,
Kwa mkono wako wa kuume;
Na tawi lile ulilolifanya,
Kuwa imara kwa nafsi yako.
K. Ee Mungu, uturudishe, uangazishe uso wako nasi tutaokoka.
Mkono wako na uwe juu yake,
Mtu wa mkono wa kuume;
Juu ya mwanadamu uliyemfanya,
Kuwa imara kwa nafsi yako;
Basi hatutakuacha kwa kurudi nyuma;
Utuhuishe nasi tutaliitia jina lako.
K. Ee Mungu, uturudishe, uangazishe uso wako nasi tutaokoka.
Somo la Pili
Ebr. 10:5-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk. 1:28Mariamu akasema, tazama, mimi ni mjakazi wa Bwana; na iwe kwangu kama ulivyosema. Kisha malaika akaondoka akaenda zake.
Aleluya.
Injili
Lk. 1:39-45Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni