Kumbukumbu ya Mama yetu wa Rozari
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Gal 1:6–12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 111:1–2, 7–10Alikumbuka agano lake milele.
Aleluya.
Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote,
Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano.
Matendo ya Bwana ni makuu,
Ukawafunulia watoto wachanga.
K. Alikumbuka agano lake milele.
Matendo ya mikono yake ni kweli na hukumu,
Maagizo yake yote ni amini.
Yamethibitika milele na milele,
Yamefanywa katika kweli na adili.
K. Alikumbuka agano lake milele.
Amewapelekea watu wake ukombozi,
Ameamuru agano lake liwe la milele.
Jina lake ni takatifu la kuogopwa.
Kumcha Bwana ndio mwanzo wa hekima,
Wote wafanyao hayo wana akili njema,
Sifa zake zakaa milele.
K. Alikumbuka agano lake milele.
Shangilio la Injili
2Kor 5:19Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, ametia ndani yetu neno la upatanisho.
Aleluya.
Injili
Lk 10:25-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni