Dominika ya 15 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Amo 7:12-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 85:8-13Na nisikie atakavyosema Mungu BWANA, Maana atawaambia watu wake amani,
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao, Utukufu ukae katika nchi yetu.
(K)Ee Bwana utuonyeshe rehema zako utupe wokovu wako.
Fadhili na kweli zimekutana,
Haki na amani zimehusiana.
Kweli imechipuka katika nchi,
Haki imechungulia kutoka mbinguni.
(K)Ee Bwana utuonyeshe rehema zako utupe wokovu wako.
Naam, Bwana atatoa kilicho chema,
Na nchi yetu itatoa mazao yake.
Haki itakwenda mbele zake,
Nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.
(K)Ee Bwana utuonyeshe rehema zako utupe wokovu wako.
Somo la Pili
Efe.1:3-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 1:12,14Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; Wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu.
Aleluya
Injili
Mk 6:7-13Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni