Alhamisi ya 34 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Ufu 18:1-2; 21-23; 19:1-3,9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 100Heri walioalikwa karamu ya arusi ya Mwana-Kondoo
Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;
Mtumikieni Bwana kwa furaha;
Njoni mbele zake kwa kuimba;
K. Heri walioalikwa karamu ya arusi ya Mwana-Kondoo
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu;
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake;
Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
K. Heri walioalikwa karamu ya arusi ya Mwana-Kondoo
Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru;
Nyuani mwake kwa kusifu;
Mshukuruni, lihimidini jina lake;
K. Heri walioalikwa karamu ya arusi ya Mwana-Kondoo
Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
K. Heri walioalikwa karamu ya arusi ya Mwana-Kondoo
Shangilio la Injili
Zab. 25:4 , 5Ee Bwana, unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako.
Aleluya.
Injili
Lk 21:20-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni