Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Eze 34:11-12, 15-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 23:1-3, 5-6Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Bwana ndiye mchungaji wangu,
Sitapungukiwa na kitu.
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
K. Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
Hunihuisha nafsi yangu;
na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
K. Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu.
Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
K. Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Somo la Pili
1Kor 15:20-26, 28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mk 11:10Abarikiwe Yeye ajaye kwa jina la Bwana; Ubarikiwe na Ufalme ujao, wa Baba yetu Daudi
Aleluya
Injili
Mt 25:31-46Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni