Jumamosi ya 21 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1The 4:9-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1, 7-9Atawahukumu mataifa kwa adili.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umetendea wokovu.
K. Atawahukumu mataifa kwa adili.
Bahari na ivume na vyote viijavyo,
Ulimwengu nao wanaokaa ndani yake.
Mito na ipige makofi,
Milima na iimbe pamoja kwa furaha.
Mbele za Bwana;
Kwa maana anakuja aihukumu nchi.
K. Atawahukumu mataifa kwa adili.
Atahukumu ulimwengu kwa haki,
Na mataifa kwa adili.
K. Atawahukumu mataifa kwa adili.
Shangilio la Injili
Zab 25:4, 5Mungu alikuwa ndani ya Kristu, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, ametia ndani yetu neno la upatanisho.
Aleluya.
Injili
Mt 25:14-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni