Jumatano ya 28 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Gal 5:18-25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 1:1-4, 6Wanaokufuata, EeBwana, watakuwa na nuru ya uzima
Heri mtu yule asiye kwenda
Katika shauri la wasio haki
Wala hakusimama katika njia ya wakosaji
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha
Bali sheria ya bwana ndiyo impendezayo
Na sheria yake huitafakari mchana na usiku
K. Wanaokufuata, EeBwana, watakuwa na nuru ya uzima
Naye atakuwa kama mti uliopandwa
Kandokando ya kijito vya maji
Uzaao matunda yake kwa majira yake
Wala jani lake halinyauki
Na kila alitendalo litafanikiwa
K. Wanaokufuata, EeBwana, watakuwa na nuru ya uzima
Sivyo walivyo wasio haki
Hayo ni kama makapi yapeperushwayo na upepo
Kwa kuwa bwan anaijua njia ya wenye haki
Bali njia ya wasio haki itapotea
K. Wanaokufuata, EeBwana, watakuwa na nuru ya uzima
Shangilio la Injili
Zab 111:7, 8Maagizo yako yota Ee Bwana ni amini
Yamethibitika milele na milele
Aleluya
Injili
Lk 11:42-46Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni