Dominika ya 27 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hab 1:2–3; 2:2–4Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 95:1–2, 6–9Ingekuwa heri leo tusikie sauti yake! Tusifanye migumu mioyo yetu.
Njoni tumwimbie Bwana,
Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.
Tuje mbele yake kwa shukrani,
Tumfanyie shangwe kwa zaburi.
K. Ingekuwa heri leo tusikie sauti yake! Tusifanye migumu mioyo yetu.
Njoni, tuabudu tusujudu,
Tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba.
Kwa maana ndiye Mungu wetu,
Na sisi, tu watu wa malisho yake,
Na kondoo za mkono wake.
K. Ingekuwa heri leo tusikie sauti yake! Tusifanye migumu mioyo yetu.
Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Msifanye migumu mioyo yenu;
Kama huko Meriba;
Kama siku ile ya Musa jangwani,
Hapo waliponijaribu baba zenu,
Wakanipima, wakayaona matendo yangu.
K. Ingekuwa heri leo tusikie sauti yake! Tusifanye migumu mioyo yetu.
Somo la Pili
2Tim 1:6–8; 13–14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 15:15Ninyi nimewaita rafika, kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa baba yangu nimewaarifuni.
Aleluya!
Injili
Lk 17:5–10Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni