Jumamosi ya 3 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 9:31-42Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 116:12-17Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Nimrudishie Bwana nini
Kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Nitakipokea kikombe cha wokovu;
Na kulitangaza jina la Bwana.
K. Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana,
Naam, mbele ya watu wake wote.
Ina thamani machoni pa Bwana
Mauti ya wacha Mungu wake.
K. Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako,
Mtumishi wako, mwana na mjakazi wako,
Umenifungua vifungo vyangu.
Nitakutolea dhabihu ya kushukuru;
Na kulitangaza jina la Bwana.
K. Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Shangilio la Injili
Kol 3:1Mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo aliko, ameketi mkono wa kuume wa Mungu.
Aleluya.
Injili
Yn 6:60-69Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni