Jumanne ya 23 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1 Kor 6:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 149:1-6,9Bwana awaridhia watu wake.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.
Israeli na amfurahie Yeye aliyemfanya, Wana wa Sayuni na wamshangilie mfalme wao.
K. Bwana awaridhia watu wake.
Na walisifu jina lake kwa kucheza, Kwa matari na kinubi wamwimbie.
Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake, Huwapamba wenye upole kwa wokovu.
K. Bwana awaridhia watu wake.
Watauwa na waushangilie utukufu, Waimbe kwa sauti kuu vitandani mwao.
Sifa kuu za Mungu na ziwe vinywani mwao,
Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote. Aleluya.
K. Bwana awaridhia watu wake.
Shangilio la Injili
Yn 15:16Mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa asema Bwana
Aleluya
Injili
Lk 6:12-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni