Alhamisi ya 23 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kol 3:12-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 150:1-6Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana.
Msifuni Mungu katika patakatifu pake;
Msifuni katika anga la uweza wake.
Msifuni kwa matendo yake makuu;
Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.
K. Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana.
Msifuni kwa mvumo wa baragumu;
Msifuni kwa kinanda na kinubi;
Msifuni kwa matari na kucheza;
Msifuni kwa zeze na filimbi;
K. Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana.
Msifuni kwa matoazi yaliayo;
Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Aleluya.
K. Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana.
Injili
Lk 6:27-38Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni